MSAADA KATIKA ANDROID

MSAADA KATIKA ANDROID

Rutamika

Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
21
Reaction score
7
Habari zenu wadau wa JF

Nilikua naomba msaada wenu kwa anaefaham kutatua tatizo la sim ya Tecno Y4 kuna sms moja huwa inaingia kutoka kwa mtu nwingne na inafanana kila ninapokua ninaiwasha sim sijajua tatizo ni nini naomba msaada wenu...
 
Bila kutuonesha hiyo sms inayoingia utasaidiwaje labda?..
 
Ndio matatizo yakukimbia shule hata lujielezea huwezi.


Lowasa alisema kipaombele chake elimu
 
Back
Top Bottom