Nenda mlimani city duka la tigo wanauza Huawei Acsend Y300 kwa Shillingi 170,000 special offer for 4 weeks from last week
Kisha check na huyu jamaa anafanya unlock iweze tumia line zote kwa gharama ya 20,000, Yupo kariakoo ofisi inaitwa Kariakooonline 0715 353 108
Utakua umetumia 190,000...Hiyo simu ni nzuri sana na bei nafuu sana, ni kubwa na ina kioo kikubwa kuliko hata cha iPhone 4