Gari yangu racters haina nguvu kabisa msaada naambiwa nibadilishe speed sensor je iko sahii
Mkuu naomba unisaidie namba ya asumani.Fanya diagnosis kwanza ili uweze kujua ina fault gani
Uko wapi mkuu,tukusaidie kuiangalia shida ni nn maana hapo kuna mara mbili yaweza kuwa ishu ya gearbox au ishu ya engine.Gari yangu racters haina nguvu kabisa msaada naambiwa nibadilishe speed sensor je iko sahii
MAGARIGari yangu racters haina nguvu kabisa msaada naambiwa nibadilishe speed sensor je iko sahii
Mkuu gari yangu - inawaka taa ya ABS, VSC, handbrake na 4WD kwenye dash board, je tatizo ni nini?Uko wapi mkuu,tukusaidie kuiangalia shida ni nn maana hapo kuna mara mbili yaweza kuwa ishu ya gearbox au ishu ya engine.
Gari yako ni aina gani mkuu.hizo taa ulizotaja hapo ni mifumo inayotegemeana hivyo kama kutakuwa na sensor mbovu basi taa hizo zitawaka.kwaharaka haraka hapo kuna sensor y ABS itakuwa mbovu cha msingi na uhakika zaidi yakupasa upime kama upo dar nitafute nitakupimia bure.au kama utataka nikufuate ulipo utagaramikia nauli..Mkuu gari yangu - inawaka taa ya ABS, VSC, handbrake na 4WD kwenye dash board, je tatizo ni nini?
Gari yako ni aina gani mkuu.hizo taa ulizotaja hapo ni mifumo inayotegemeana hivyo kama kutakuwa na sensor mbovu basi taa hizo zitawaka.kwaharaka haraka hapo kuna sensor y ABS itakuwa mbovu cha msingi na uhakika zaidi yakupasa upime kama upo dar nitafute nitakupimia bure.au kama utataka nikufuate ulipo utagaramikia nauli..
Sana napatikana mwenge.
Fanya kama nilivyo kwambia mkuu.msaada wangu mm kwako ndio utakuwa umegotea hapo .ukitaka nikupe ushauri mwingine utakuwa ni ubashiri au kama unauelewa kidogo nikuelekeze namna ya kupima fault code manually then ukiweza nitakwambia shida ni nini
RAV4 Mkuu,
Mkuu RAV 4 yangu mwanzo ilikuwa inatumia mafuta vizuri sana yaani 12km kwa litre,lkn sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8 nini tatizo?plsGari yako ni aina gani mkuu.hizo taa ulizotaja hapo ni mifumo inayotegemeana hivyo kama kutakuwa na sensor mbovu basi taa hizo zitawaka.kwaharaka haraka hapo kuna sensor y ABS itakuwa mbovu cha msingi na uhakika zaidi yakupasa upime kama upo dar nitafute nitakupimia bure.au kama utataka nikufuate ulipo utagaramikia nauli..
Sana napatikana mwenge.
Hapo kuna tatizo na linatatulika.Mkuu RAV 4 yangu mwanzo ilikuwa inatumia mafuta vizuri sana yaani 12km kwa litre,lkn sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8 nini tatizo?pls
Mkuu gia zinaingia vyema kabisa.Hapo kuna tatizo na linatatulika.
Hapa naweza nikakuandikia mambo zaidi ya 10 yanayoweza kusababisha.lkn kati ya hayo matatu au mawili tuu ndiyo yakawa chanzo.
Kwanza nikuulize maswali mepesi yenye majibu ya tatizo lako.
Gari yako ukiiwasha inatia moshi mweusi au maji?.
Vipi ubadilishaji wake wa gia ni sawa sawa na zamani.
Peformance ya engine ikoje kwa sasa.
Hapo lazima ufanye service ya kina sio ya kubadili oil tuu n plug na airclener hapana.
Ongeza na haya.
Badilisha fuel filter,siku hizi zipo nyingi sana zinapatikana bei yake ni kama elfu 50 tuu. Usiweke used.
Fungua idle sensor na uisafishe.
Weke spark plug zilizopendekezwa kwa engine yako usiweke bora plug.
Kununua plug za bei gari sio hoja unaweza ukafunga plug ya 50 kwa moja lkn zikawa ndio mchawi wako.
Air clener usisafishe nunua mpya zipo nyingi bei yake ni kama elfu 25 tuu.
Ukifanya hayo yanaweza yakawa sio tiba tatizo lako linaweza sababishwa n gearbox pia kama haibadili gear vizuri nalo ni shida.
Cha msingi zaidi ni kubaini tatizo ni nini hivyo ningeliona gari ningeweza kukushauri sehem husika
Nakushukuru sana mkuu kwa ushauri wakoHapo kuna tatizo na linatatulika.

Inaonekana kuna kipindi ulibadili gia anganiMkuu RAV 4 yangu mwanzo ilikuwa inatumia mafuta vizuri sana yaani 12km kwa litre,lkn sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8 nini tatizo?pls
Hapana nimewekeza miradi mikubwa kwa fweeza za ndaniInaonekana kuna kipindi ulibadili gia angani
Sasa fanya hivi mkuu fungua fuel filter angalia kama chafu sana au imechoka badili weka mpya. Na kama itakuwa chafu sana inamaana hapo uchafu umefika mpaka kwenye nozell,fungua safisha,plug badili,badili airclener na safisha idleMkuu gia zinaingia vyema kabisa.
Nikiliwasha likawa kwenye silencer linatoa maji
Ila nikipindi kirefu sana sijagusa plug na nozel
Iwapo injectors and spark plugs zote zinafanya kazi sawasa, matatizo hayo hutokea iwapo cylinders zinapata mafuta mengi sana kupita kiasi lakini yakiwa hayana pressure ya kutosha ku-atomize vizuri kwenye injector na kuwaka au hakuna mafuta ya kutosha yanayofika na kuwaka kwenye cylinder. Matatizo yote hayo mawili yanahusiana ama na kufa kwa fuel pump au fuel pressure regulator. Ukiwa na bahati, inawezekana kuwa fuel pump na fuel pressure regulator zinafanya kazi sawasa ila kuna fuel filter iliyomo ama ndani ya fuel pump au ndani ya pressure regulator imeziba. Tafuta fundi akuchekia kwanza hiyo fuel pressure regulator, kama hiyo iko sahihi basi valves ndani ya fuel pump yako zimekufa, inabidi ubadilishe fuel pump yote.Gari yangu racters haina nguvu kabisa msaada naambiwa nibadilishe speed sensor je iko sahii