Msaada: Kaka yangu anateswa bila ya hatia

Siowi mwanamke mwenye mtotot kamwe, kama umesha zalishwa imekula kwako tutakutumia mdogo mdogo tu kama MAGU, kama umezaliswa huna maana ya kuolewa
 
Nyoosha kiswahili hakuna mama Mkwe hapo maana hawajaoana Kwa maelezo ta uchumba Pili huyo kaka ako ni bwege au kapewa limbwata au alifanya kweli hio madude unawezaje kuendelea kuwa karibu na hiyo familia kubaka ???? Ingekua Mimi nishahama mkoa huyo unayemuita mama Mkwe hamhitaji mkulima wake achape lapa mapema ataozea jela
 
Ni sawa Lakini Mwanamke Aliyezaa Naye Ana haki ya Kupendwa na Kuolewa Kama wanawake Wengine Wamependana Ila Tatizo sio Mwanamke Ni Mama Mkwe
Kama shida ni mama Mkwe Basi mama mzazi anaweza kueleza ukweli anaweza kumtoa Mshkaji in a minute na akafuta kesi
 
Inawezekana mama mkwe anataka mahusiana na mkulima wake sasa hawajaweka mambo sawa anamkomesha kama anavyosema
 
Mambo yanayoendelea kule kibiti hayataisha. Mkuu kula kichwa cha mama mkwe akisekane mwenye kesi. Ni chuma kimoja tu maisha yanaendelea.
 
Kama shida ni mama Mkwe Basi mama mzazi anaweza kueleza ukweli anaweza kumtoa Mshkaji in a minute na akafuta kesi
Mara Ya Kwanza Mama Mzazi wa mtoto Akishirkiana Na Baadhi ya Ndugu Zake Ndio Walimtoa Lupango Kwa Sababu wanajua Mama Yao Anamatatizo
 
[QUOTE="mcharo360,

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
Hivi sijajua hii" Sent from my VFD 301 using jamiiForum mobile app[/QUOTE] NI ushauri gani? nisaidieni
 
Jamani haya mambo yakuwa wanyonge ukoo mzima matatizo yake ndo haya. Yaani mtu akae lokapu bila kosa lolote halafu nyie mko kimya? Nendeni mkaongee na OCD mumsikilize anasemaje halafu mkiona anaendeshwa na pesa basi nendeni kwa mkuu wa wilaya elezeeni shida zenu mtapata ufumbuzi mkubwa sana

Usisahau kuleta mrejesho
 
Tatizo katafuta mtumba mkuu siunajua mtumba nafuu
 
Kwa picha niliyoipata harakaharaka,huyo mkaka ni marioo.Mwambie aache kupenda mteremko huyo mkaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…