Tuwe wazalendo, huo ni wizi kama wizi mwingine, wenye hiyo garage wanapaswa wakamatwe.Sio gereji mkuu ni yard ya kuzia magari (show room)
Tuwe wazalendo, huo ni wizi kama wizi mwingine, wenye hiyo garage wanapaswa wakamatwe.Sio gereji mkuu ni yard ya kuzia magari (show room)
Wewe hujui hata kadi ya gari inaandikwa nini. Maana hiyo gari yako haifanani chassis number na kadi unayotafuta, Rangi, mwaka ilotengenezwa na kadhalika. Kama unataka mradi kadi inayofanana na kadi ya gari nenda Stationary yoyote na kadi ya gari ya shemeji yako watakutengezea inayofanana ambayo Road licence utalipia kwa dada yako maana Ukienda kulipa TRA utaishia SegereaOf course not. Ninachotaka ni kadi tu
Hapo huo ni wizi mkuu, unajua kwani ni hiyo gari haina card. Sababu ni mbili tuu either imeingia nchini bila kulipiwa ushuru na sababu ya Pili ni kuwa imeibiwa.Dili ya wizi imetokea wapi? Au unafkr kila mtu ni mpiga dili humu? Kama huna msaada kwa nn usikae kimya tu?
Ngoja jamaa wa TRA wakuchomekee hapa ndipo utakapojua gongo si chai. Ajabu sana unaweka ombi hili open kwenye mtandao.Natafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.
Hawezi kukuelewa.Bwashe Kadi ya gari sio Kama ya ccm... Kuna taarifa muhimu sana zipo kwenye Kadi haziwezi kubadilishwa kirahisi. Halaf, hata ukipata hiyo ya mbovu unajua kuwa utatakiwa uilipie tra kwa Muda ilolala afu ndo ununue hiyo ya Dili??? Futa namba ya huyo anaetaka kukuuzia, atakuingiza pabaya. Gari sio ice cream. Na haswa kipindi hiki.
Dili ya wizi imetokea wapi? Au unafkr kila mtu ni mpiga dili humu? Kama huna msaada kwa nn usikae kimya tu?
We unamdanganya mwenzako umelengeshe kwa wamwera.Upo mkoa gani nikusaidie, mie nipo Dar.
TunakujaPolisi njooni huku kuna muhalifu 100%