konhokibopa
Member
- Aug 22, 2016
- 54
- 34
Heshima kwenu wanajamvi pia polen kwa uchovu wa majukum ya kila siku.....
Mi ni kijana mwnye shahada ya ualimu in 2016 katik chuo kimoja wapo hapa TZ na pia Geography na history ni teaching subjects zang ila navutiwa zaid na kufundish GEOS
Hivyo bas kwa kutambua changamoto nilizowahi kuzipitia katik uanafunzi wangu na nyingne ambzo naona bdo zipo nimegundua kuwepo kwa baadhi ya topics katik somo la Geography zilikua zikinksumbua na bado zinawasumbua wanafunz mfano( CLIMATOLOGY) Na nyingine nyingi kwa ordinary level hivyo kwa ujuz nilioupata katk miaka yote ya elimu yang mbaka nilipofikia ni imani yang na ninadhati ya kuviandaa vijitabu ambavyo vitakua vinahusisha mfumo wa topic moja moja hasa katika lugha rahis inayoelewek vizur na kumvutia mwanafunz yule mwenye juhud na hata asie na juhud sana katik kukisoma kijitabu hicho na kujiongezea mahalifa kwan nitaviuza kwa bei rafiki kbsa kwa wanafunz waliopo mashuleni,resetters,wale QTS n.k
Hivyo kwa yeyote mwnye ujuzi au ushaur juu ya wazo hili naomba anifungue macho na kuniongezea uelewa ili niweze kuitumia taaluma yangu vizur katk kuwasaidia wanafunz ambao bado wanataman kufikia level za juu kielimu lakin pia kujiinua binafsi kiuwezo wa kumudu gharama za maisha!!!! Ahsanteni