Msaada juu ya vifurushi vya tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya vifurushi vya tigo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Dec 1, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Naomba kuwauliza wadau hili tatizo la vifurushi vya tigo ni kwangu 2 au? Toka ijumaa mpaka sasa kila nikijaribu kununua vifurush vya tigo net wananipa msg hii 'sorry you can not activate another packege when one packege is already activated'

  chakushangaza nimei2mia kama siku 3 hv bure.Huku nikiwa na sh 0.00

  ubaya muda mwingine inagoma kbs kufungua net nikiweka hela inakubali nikitaka kununua kifurush inagoma na kunipa sms hiyo.

  Je tatizo ni nin?
  Kama kunayeyote amewahi patwa na hili msaada plz alilitatuaje?
   
 2. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hamia Airtel achana na Tigo wazushi tu hao.Hata mimi ilinizingua mwanzo nikaiingizia code nikaanza kuitumia kwa line ya airtel.Kwa sasa mambo safi,ndiyo naitumia kuandika hapa.:flame:
   
 3. brightrich

  brightrich Senior Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tigo ni balaa, uliza hata Mombasa!
   
Loading...