Kila nikinunua vifurushi vya tiGO naliwa pesa

Hardlife

JF-Expert Member
Apr 11, 2021
2,752
6,248
Tigo mmekuwaje? Kila nikinunua vifurushi pesa inaenda na kifurushi sipati. Juzi imeenda Tsh 2000 baada ya kununua vya 1000 mara 2 mpaka na nunua cha 500 ndio inakubali. Leo tena nimenunua cha 1000 hela imeenda, nimejaribu cha 500 hela imeenda. Nikipiga namba 100 siwapati.

Badilikeni.
 
Na utaliwa sana!
 
Back
Top Bottom