Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

by experience kuna namna mbili za kuhama ya kwanza ni lazima usome mwaka mmoja chuo walichokuchagua ndo uhame na matokeo yako for the same programme. ya pili chukua admission ya chuo usichokitaka nenda nayo chuo unachokitaka watakupa fomu utajaza after few day majina yatatoka
 
Kaka msaada wako..unaweza kuamia na coarse nyingine au lazima iwe hiyohiyo
 
Kwa experience... Kufanya transfer sio tabuu sanaaa...nenda chuo unachotaka...ulizia nafasi kama zipo za course husika...sharti uwe na passmark zinazowianaa kama ilivyoainishwa kwenye guide book ya TCU...kama nafasi ipo sidhani kama litakua tatizoo!
Kuhusu habari ya jinaa kupelekwa TCU n issue ya chuo ulichohamia.
Na TCU ndo watapeleka majinaa loans board na mkopo wako utahamishwaa kama kawaidaaa ingawa n kwa kuchelewa!
 
Anhaa asante kaka kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom