The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Habari wana JF , nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya uwezekano wa kuhama chuo, nili apply suha lakini nashangaa nimetumiwa email ya admission na chuo cha st.joseph songea, mbali na kozi kua tofauti pia gharama za st.joseph zimeonekana kua kubwa zaidi, majina ya sua bado ayajatoka pia profile langu alijabadilika kitu chochote je kuna uwezekano wa kua nimechaguliwa st.joseph permanent,, na kama ndio je kuna uwezekano wowote wa kuomba mamlaka nihame chuo, natanguliza shukrani nikiamini wanaJF mtanisaidia.