Msaada juu ya Twitter Verification Code

My Next Thirty Years

JF-Expert Member
May 12, 2021
511
1,000
Wadau ninahitaji msaada,

Nina login Twitter, inahitaji ni verify namba. Licha ya kuweka namba, na wao kuniambia kuwa wametuma ujumbe, siupati. Nimesumbuka zaidi ya week sasa.

Nimejaribu Ku-reinstall App na kujaribu, bado sijapata ufumbuzi. Naomba msaada.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom