Waungwana naomba mawazo yenu ili nitatue hili tatizo langu la kusinzia maana linanikera sana yani nikikaa sehemu nikatulia nasinzia, nikiwa nasoma sms kwenye Sim nasinzia, nikijisomea gazeti au kuangalia TV tatizo ni hilo hilo jamani naomba mnishauri cha kufanya niondokane na hii kero
Ilo sio tatizo n kipaj ulichopewa na mungu mshukuru
weka vijiti katikati ya macho ili yasianguke