Msaada juu ya tatizo la kusinzia mara kwa mara

aminah9

Member
Oct 8, 2014
83
39
Waungwana naomba mawazo yenu ili nitatue hili tatizo langu la kusinzia maana linanikera sana yani nikikaa sehemu nikatulia nasinzia, nikiwa nasoma sms kwenye Sim nasinzia, nikijisomea gazeti au kuangalia TV tatizo ni hilo hilo jamani naomba mnishauri cha kufanya niondokane na hii kero
 
Fanya mazoezi kama vle kukimbia tatzo hautlisikia tena nilikuwa nalo nikapiga tzi ya mara kwa mara imebaki story.au kabime ugonjwa wa malale
 
Unga wa pilpipili kichaa husipungue mkononi mwako tumia kama powder kwa mda wa wiki moja utakuja kunishukuru
 
Waungwana naomba mawazo yenu ili nitatue hili tatizo langu la kusinzia maana linanikera sana yani nikikaa sehemu nikatulia nasinzia, nikiwa nasoma sms kwenye Sim nasinzia, nikijisomea gazeti au kuangalia TV tatizo ni hilo hilo jamani naomba mnishauri cha kufanya niondokane na hii kero

Chemsha maji changanya na asali na mdalasini. Kunywa hyo itakusaidia sana
 
Vaa viatu size ndogo, Hakikisha via nakubana sana. Hiyo makitu hutokutana nayo tena.
 
Waungwana naomba mawazo yenu ili nitatue hili tatizo langu la kusinzia maana linanikera sana yani nikikaa sehemu nikatulia nasinzia, nikiwa nasoma sms kwenye Sim nasinzia, nikijisomea gazeti au kuangalia TV tatizo ni hilo hilo jamani naomba mnishauri cha kufanya niondokane na hii kero

punguza kunywa viroba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom