mhhh mkuu iyo biashara sio kama nyama buchani aseeh apo lazima upate wazoefu wakupe ramani wakupeleke wanapo nunua wao at least inaweza kukusaidia mana unaweza nunua balo la pesaa nyingi wakakupigaa wakakuwekea baloo la malonyaa matupuu wale jamaa wabaya sana ila yanapatikana kwa wingi tu hapa mjin ukienda mnazi mmoja yapo ya kutosha tuu