Msaada juu ya namna ya kuomba nafasi za kazi TPA kwa njia ya mtandao

uswaswa

Member
Mar 10, 2019
40
39
Salaam kwenu Wakuu, husika taarifa hapo juu.

Ninaomba mwenye uelewa juu ya namna ya kuomba hizi nafasi zilizotoka za Mamlaka ya Bandari Tanzania, anijulishe maana sijaelewa namna ya kuomba kwakweli.

Natanguliza shukrani
 
mfano uki scan true /original certificates na kuzi attach je kwenye selection wanaweza kukuondoa maana hujaweka certified copies ?, msaada.
Kwanini usifate maelekezo mkuu kama kweli unahitaji hizo nafasi? Unaweza itwa pia.
 
Unatoa copy vyeti vyako Kisha unapeleka mahakamani au kwa wakili/mwanasheria wanakupigia mihuri.
Halaf baada ya hapo unaenda kuziscan na kuviingiza kwenye mtandao/website ya ajira portal wakati wa kujisajili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kiongozi nimekupata vyema kabisa.

Swali jingine wamesema kuwa ;
  • A signed application letter should be written either in Swahili or English language and Addressed to;
Hiyo barua inatakiwa hand written au hata computer inaweza kutumika mkuu...?
 
ukisha type barua, print it, sign it, then scan it.. Ile barua soft copy yenye signature yako uta attach kwenye portal sehem ya ku submit barua yako.

silent_ocean
 
1.unaweza andika kwa mkono,uka sign kisha uka scann.
2.Unaweza type uka print,uka sign kisha uka scann.
3.Unaweza type uka sign electronically ukawa umemaliza.

Zote hizo njia bila shaka utaitwa ila mimi huwa natumia njia no.3 na hakuna saili ambayo nimeomba nikawa sijaitwa,Ijapo kabla nilikuwa natumiaga njia no.2 na pia nilikuwa naitwa baada ya kuona ni cost kuwa na print print mabarua nikaanza tumia no.3 na ni fresh tu haihitaji gharama yeyote ile na ni haraka tu ndani ya dk 2 umemaliza kila kitu.
 
Handwritten ndio bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kiongozi wangu.

ukisha type barua, print it, sign it, then scan it.. Ile barua soft copy yenye signature yako uta attach kwenye portal sehem ya ku submit barua yako.

silent_ocean
Thanks a lot brother.

1.unaweza andika kwa mkono,uka sign kisha uka scann.
2.Unaweza type uka print,uka sign kisha uka scann.
3.Unaweza type uka sign electronically ukawa umemaliza.

Zote hizo njia bila shaka utaitwa ila mimi huwa natumia njia no.3 na hakuna saili ambayo nimeomba nikawa sijaitwa,Ijapo kabla nilikuwa natumiaga njia no.2 na pia nilikuwa naitwa baada ya kuona ni cost kuwa na print print mabarua nikaanza tumia no.3 na ni fresh tu haihitaji gharama yeyote ile na ni haraka tu ndani ya dk 2 umemaliza kila kitu.

Nawashkuru sana wakuu.

Hiyo njia ya 3 ya kielektroniki unatumiaje mkuu...?

Maelekezo tafadhali.

Na pia nimeona wanataka Form IV examination certificate hapa wanamaanisha ni secondary school leaving certificate au wanamaanisha nini wakuu...?

Thanks a lot aisee.
 
Ahsante sana kiongozi wangu.

Thanks a lot brother.

Nawashkuru sana wakuu.

Hiyo njia ya 3 ya kielektroniki unatumiaje mkuu...?

Maelekezo tafadhali.

Na pia nimeona wanataka Form IV examination certificate hapa wanamaanisha ni secondary school leaving certificate au wanamaanisha nini wakuu...?

Thanks a lot aisee.
Living achana nazo tumia Cheti halisi 4,6,chuo pia Transcript kama unayo.

1.Download Adobe Acrobat pdf From Playstore Or AppStore on your Smartphone/Tablet
Kisha
2.Nenda Youtube andika hivi
How To Sign A PDF On Your Android Smart Utaona Mkuu.
 
Mkuu vipi unaeza kuomba nafasi zaidi ya moja?

Sent using Ubuntu
 
Mkuu vipi unaeza kuomba nafasi zaidi ya moja?

Sent using Ubuntu
Omba hata zote Mkuu as long as una vigezo utaitwa na utafnya SAILI zote boss wangu ila tu zingatia ukiomba nafasi ambayo huna vigezo nayo mawili kama utaitwa Usaili basi Unaweza usifanye maana huwa wanakagua vyeti vya Taaluma mkuu sasa isijekuwa umetoka KAZURAMIMBA kuja DAR alafu unafika Exams hall unaambiwa huna vigezo hivi vitu Muhimu kuzingatia.Ni shuhuda nilizoshuhudia.
 
Back
Top Bottom