2 255_viny New Member Joined Aug 4, 2021 Posts 4 Reaction score 2 Aug 19, 2021 #1 Habari zenu wapendwa. Nilikuwa naomba msaada juu ya usukaji wa mota za aina zote yani Three phase na single.
Habari zenu wapendwa. Nilikuwa naomba msaada juu ya usukaji wa mota za aina zote yani Three phase na single.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,214 Reaction score 18,368 Aug 19, 2021 #2 Unataka kusuka mwenyewe? Au unataka fundi wa kukusukia? Au kuna jambo hulielewi kuhusu usukaji wa motor ungependa ueleweshwe?
Unataka kusuka mwenyewe? Au unataka fundi wa kukusukia? Au kuna jambo hulielewi kuhusu usukaji wa motor ungependa ueleweshwe?
2 255_viny New Member Joined Aug 4, 2021 Posts 4 Reaction score 2 Aug 19, 2021 Thread starter #3 Capt Tamar said: Unataka kusuka mwenyewe? Au unataka fundi wa kukusukia? Au kuna jambo hulielewi kuhusu usukaji wa motor ungependa ueleweshwe? Click to expand... Nina taaluma ya umeme na natamani nijue pia usukaji wa mota kuanzia sifuri
Capt Tamar said: Unataka kusuka mwenyewe? Au unataka fundi wa kukusukia? Au kuna jambo hulielewi kuhusu usukaji wa motor ungependa ueleweshwe? Click to expand... Nina taaluma ya umeme na natamani nijue pia usukaji wa mota kuanzia sifuri
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,807 Reaction score 61,666 Aug 19, 2021 #4 255_viny said: Nina taaluma ya umeme na natamani nijue pia usukaji wa mota kuanzia sifuri Click to expand... baadhi ya branchi za VETA wana kozi ya motor rewinding
255_viny said: Nina taaluma ya umeme na natamani nijue pia usukaji wa mota kuanzia sifuri Click to expand... baadhi ya branchi za VETA wana kozi ya motor rewinding
2 255_viny New Member Joined Aug 4, 2021 Posts 4 Reaction score 2 Aug 19, 2021 Thread starter #5 dronedrake said: baadhi ya branchi za VETA wana kozi ya motor rewinding Click to expand... Nikweli lakini nilitamani kupata mwanga kwa wataalamu ili hata nikijakupata mtaji wa kwenda kusomea sina mwanzo mgumu tena
dronedrake said: baadhi ya branchi za VETA wana kozi ya motor rewinding Click to expand... Nikweli lakini nilitamani kupata mwanga kwa wataalamu ili hata nikijakupata mtaji wa kwenda kusomea sina mwanzo mgumu tena