Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Nina memory card yangu ya Tecno 32 Gb tatzo lake ni kidownload music mfano music umeingia kwenye phone storage nikitaka kucopy nikipeleka kwenye memory music hau play sasa sijui nn ni tatzo mpaka now na waza chakufanya ita kuwa nini ni tatzo