future man
Member
- Feb 2, 2021
- 5
- 0
Ukipata F ya Math hata kama una point 7 ni Division 3
[/m
mmi nimepata 18 phy d,chem c, biology b
ko una maana sitachaguliwa "pcb"??
Ukipata F ya Math hata kama una point 7 ni Division 3
[/m
mmi nimepata 18 phy d,chem c, biology b
ko una maana sitachaguliwa "pcb"??
Sheria inasema uwe na C tatu ndio unaweza kufanya pepa ya f6. Sio lazima hizo C ziwe za kombi.Mambo yanachanganya sana.
Waraka wa mwaka 2015 (Kama sijakosea mwaka) ulisema ili mtahiniwa afanye mtihani wa kidato cha sita, ni lazima awe na credits kweny masomo yake yote matatu. (Credit maana yake A, B au C)
Sasa sijui kwa sasa mambo yakoje, maana nchi hii inategemea wale jamaa wameamkaje![]()