msaada juu ya keyboard inafail

msaada juu ya keyboard inafail

mwanasubi

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
11
Reaction score
1
msaada jaman juu ya keyboard, nna computer motherboard yake haina tundu za ps2 inamana uta2mia usb pekeake. Shida ilopo ukiwa unawasha computer keyboard inafail n u cant access to bios people what the solution 4 this nataka ningie kwenye bios
 
unaweza ukaelezea vizuri,inaleta error gani,ni message gan unapata wakati inakataa kuwasha.
 
Back
Top Bottom