Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Wanawake wengi huwa wanakua na huruma ndgu ha ndugu zao ila mwisho wa siku ndgu hao huwaangusha.

Na wao hukosea toka mwanzo kwa kutowauliza hao ndgu wanahitaji nini maishani mwao bali wao kwasababu ya uwezo wao huwapangia wafebyr hiki na kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…