Msaada juu ya HTC DROID DNA

The King of Jews

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
478
Reaction score
109
Habari wataalam, me nna HTC DROID DNA mpya, lakini kuna kitu sikielewi katika Simu hii, kila nnapoangalia Salio napata jibu lililoandikwa kwa kichina mpaka nachanganyikiwa na Salio lenyewe halionekani. Naomba msaada wa namna ya kitatua tatizo hili.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
 
Mh. No response aisee!!!
Wakuu naomba mnisaidie kwa anayefaham
 
i think sababu ni simu ya verizon, ya cdma ndio maana ipo hivyo
 
Ndio mkuu, ni Verizon . sasa natatua vipi hili tatzo?

nimegoogle kidogo hapa seems inawapata watu wenye kitkat, simu yako ina kitkat? kama ndio umeipataje hio kitkat?

-solution ni kudowngrade kuja jellybean au kueka custom rom ambayo haina sense bali ni ya aosp kama cyanogen 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…