Msaada juu ya Hotspot kwenye iphone kupitia line ya halotel

dah nimepata ufumbuzi kaka shida ilikua line ila sio mchezo kwakweli
Mkuu umefanyaje maana hata mimi ninayo simu yangu ya Samsang S1 haiwezi kuunga hotspot? Hebu tugawiwe hayo maujanja.
 
Kivipi mkuu? Hebu toa maelezo ninakiri.
Kuna apps kama pdanet unaweka kwenye simu na pc inatengeneza njia nyengine kabisa ya kutengeneza Hotspot.

Pia ipo app kama wifi control ambayo hubypass carrier Hotspot kwa baadhi ya simu.
 
Kuna apps kama pdanet unaweka kwenye simu na pc inatengeneza njia nyengine kabisa ya kutengeneza Hotspot.

Pia ipo app kama wifi control ambayo hubypass carrier Hotspot kwa baadhi ya simu.
Sawa naweza kuipata wapi niweke kwenye laptop yangu?
 
Back
Top Bottom