Msaada juu ya hili

Msaada juu ya hili

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Kuna siku nilipata email ikinijulisha nimekuwa mshindi katika award za true move....ila hadi leo sijapata mwelekeo wa hawa watu kwa process zao maana niliambiwa pesa ziko katika benki inaitwa SIAM huko thailand,
Nikafanya mawasiliano na hiyo bank , wathibitisha kuwa ni kweli pesa nimeingiziwa na ipo hivyo nifate taratibu ili nitumiwe,niliambiwa niwatumie cheti cha ushindi pamoja na fund release order...
Mi niliwatumia certificate of award na nikawaambia hiyo fund release order nimeshindwa kuipata.
Wakaniambia niwasiliane na kampuni flani ya huko thailand ili wanisaidie,nikafanya hivyo na hiyo kampuni wakani email kuwa process itacost kama 1.5mil na pesa zitatumwa katika account za nchi nayoishi yaani hapa TANZANIA.

MSAADA
Bado sijawaamini hawa watu kwahiyo naomba mwenye kufaham ukweli wowote anijuze na kama ni wako kweli basi nisaidiwe kuupata huo mzigo jamani,,,hali ni ngumu
 
Mbona hizo email mi nazipata nyingi tu, we hujagundua tu ni watu wanatumia fursa ya internet kutafuta pesa bila jasho?
 
Back
Top Bottom