msaada juu ya hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada juu ya hili

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by QUALIFIED, Aug 22, 2012.

 1. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  habari wana JF
  mimi ni mwanafunz mtarajiwa wa ifm na pia makazi ni mwanza tatizo linakuja sina mkopo halafu nahisi maisha dar yatakua magumu sana,nlikua nkifikilia kuja kutafuta part time work japo niwe napata kitu kwa muda fulan,naomba kwa mtu anayeweza nisaidia mahali ambapo naweza ajiliwa au anayeweza kuniajil anisaidie,au mkuu mwenye wazo pia msaada
   
 2. p

  pua kubwa Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mamantile anatafta ntakuinbox namba yake fb
   
 3. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  hahaha mkuu kwel wewe ni kama jina lako du
   
Loading...