Katika zunguka zunguka zangu leo nmepata ring [emoji183] nzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie mnaonaje shape ake ilivokaa ipoje?
View attachment 1689902