INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,959
Laki tatu au elfu tatu?
Mkuu pete ya elfu tatu kweli mkuu? Je utaweza kutunza familia kweli mkuu? je Mahari umelipa kiasi gani aisee?Elfu 3 tu
Lini tunamvalisha shemeji sasa?Katika zunguka zunguka zangu leo nmepata ring [emoji183] nzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie mnaonaje shape ake ilivokaa ipoje?View attachment 1689902
Hata kama pesa hamna ndio umvalisheKatika zunguka zunguka zangu leo nmepata ring [emoji183] nzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie mnaonaje shape ake ilivokaa ipoje?View attachment 1689902
Mkuu pete ya elfu tatu kweli mkuu? Je utaweza kutunza familia kweli mkuu? je Mahari umelipa kiasi gani aisee?
Lini tunamvalisha shemeji sasa?
Hata kama pesa hamna ndio umvalishe
Mtoto wa watu Pete ya 3000?
Chukua hata silver ya 45000Atlist sh ngap
atleast Tshs 1,000,000/=Nimvalishe atlist sh ngap, mkuu
atleast Tshs 1,000,000/=
Tayari mkuu. Naomba nikusaidie kumvalisha pete mkuu. Ukiwa kama ndugu yangu.Utamvalisha mpenz wako hio