unasoma masters coz hujafer wenda mama ndalichako abadli mfumo jtai uwahiGPA ya 2.5 kama tujuavyo ni PASS grade sasa je muhitimu wa chuo akipata grade hii anaweza kuendelea na masomo ya masters kama ndio ni chuo gani aombe. pia ina madhara gani katika maisha yake ya kutafuta ajila
ushauri tafadhari.....
Kwan umefanya BA ktk fani gan?MKUU NI APPLY WAPI HAPO UNAPOSEMA WEWE.
datastar tranning colleage krbu mkuuMKUU NI APPLY WAPI HAPO UNAPOSEMA WEWE.
Chuo kipi hicho masters GPA 2.7?
unasoma masters coz hujafer wenda mama ndalichako abadli mfumo jtai uwahi
KWA TAARIFA TU TOKA DALASA LA KWANZA NAJISOMESHA NA SIJAWAHI SOMA KWA MKOPO KAMA UNAVYOZANI NA PIA NINA KAZI INAYONILIPA VIZURI NA KUSOMA NIMESOMA KWA KUJIENDELEZA TU NA NATAKA NIJIENDELEZE ZAIDI.... KARIBU KAMA UNA JIPYA HAPO...We ulienda shule kusoma au kula bumu tu?sasa dume zima unatokaje na gpa ya 2.5?hiyo pesa unayotaka kusomea masters ni bora ukafanyie biashara.shule sio fani yako wewe.
NIMEKUELEWA KAMANDA BIG UPHapo Mkuu mtihani... labda jaribu postgraduate diploma ambayo sometimes inatumika kama bridge to Masters degree.
MADHARA: 1. Usijisumbue kuomba kazi serikalini... na hivi bado maombi ya kazi serikalini sharti kwa posta; save your money for other uses. Usijisumbue coz' serikalini hadi kesho wanaangalia vyeti.
WAY FORWARD: Ikiwa malengo yako ni kuajiriwa; then learn skills, confidence, jifunze jinsi ya kujieleza. Fahamu general issues za field yako... kama umesoma uchumi, achana na mambo ya "what's indifference curve" "what's demand-supply curve"... I mean, achana na ku-memorize uliyosoma darasani... find how they do happen and applied in a real world. Baada ya hapo, usiogope kuomba kazi private sectors... hususani kule kusiko na mambo ya Kiswahili swahili.
Binafsi, kati ya sehemu nilizowahi fanyia kazi, sehemu moja niliulizwa cheti wiki kibao wakati nimeshaanza kazi... just for filling na sehemu nyingine; hadi nimetoka sikuwahi kuulizwa cheti. Which means, hata siku ya interview sikuulizwa cheti... all they care is if you can deliver and your goddamn piece of paper from Tanzanian institution has nothing to do with it... wengine, hususani foreigners wanaamini tunanunua grades! Kwahiyo cheti chako kisikutie unyonge provided you can control the interview panel... unawa-contain kiasi kwamba hata kama kuna mnoko mmoja alitaka kukuuliza kuhusu cheti, anasahau!
REMEMBER; unapopata nafasi kama hiyo (ya interview) sio ndo kwamba usiende na cheti; HELL NO!
asa ilikuaje ukala hyo 2.5,au ulizidisha kuhangaika na wanawake?KWA TAARIFA TU TOKA DALASA LA KWANZA NAJISOMESHA NA SIJAWAHI SOMA KWA MKOPO KAMA UNAVYOZANI NA PIA NINA KAZI INAYONILIPA VIZURI NA KUSOMA NIMESOMA KWA KUJIENDELEZA TU NA NATAKA NIJIENDELEZE ZAIDI.... KARIBU KAMA UNA JIPYA HAPO...
CHIGE..umenifungua sana aisee asante sana nalifanyia kazi wazo lako ni zuri sana.Kama ni BBA Marketing, basi una uhakika wa kusoma masters, ama directly au hata kupitia postgraduate diploma. And trust me, ikiwa una nafasi, wala sio mbaya kupitia PGD manake unaongezea hadhi fulani. Na hapa nchini kuna vyuo vitatu ndo wanajifanya wanoko sana-- UDSM, SUA & MUHAS. But uzuri wa marketing, kuna vyuo vingi including vya serikali ambavyo vinatoa postgraduate na masters ya hiyo makitu. Na Marketing kwenye soko la ajira ndo basi tena; is all about how you can deliver...