Msaada juu ya hii GPA

NONGWA

Senior Member
Mar 10, 2012
142
116
GPA ya 2.5 kama tujuavyo ni PASS grade sasa je muhitimu wa chuo akipata grade hii anaweza kuendelea na masomo ya masters kama ndio ni chuo gani aombe. pia ina madhara gani katika maisha yake ya kutafuta ajila

ushauri tafadhari.....
 
Gentleman siyo...unataka kujilipia?
 
GPA ya 2.5 kama tujuavyo ni PASS grade sasa je muhitimu wa chuo akipata grade hii anaweza kuendelea na masomo ya masters kama ndio ni chuo gani aombe. pia ina madhara gani katika maisha yake ya kutafuta ajila

ushauri tafadhari.....
GPA hiyo ni ndogo sana huwez kuendelea na masters , mara nyingi huwa wanachukua 3.5 na kuendelea ila kwa vyuo vya kata unaweza soma navyo kati ya 10 unaweza kupata 1
 
je km una iyo 2.5 diplma....unataka uingie degre inakuaje
 
me nlikua napiga dplma..engineering nmepata 2.5 lkn nmeamua nfanye kaz mwaka mmoja ...mwakan niendelee ss nawezaje kuendelea na iyo 2.5
Ni vile Watu wa diploma huwa wanaomba kujiunga chuo kupitia Nacte, sasa kwa mwaka huu minimum entry qualifications ilikuwa ni 2.7. Sijui kwa mwakani itakuwaje, ila ww jaribu tu kuomba wakat ukifika
 
GPA hiyo ni ndogo sana huwez kuendelea na masters , mara nyingi huwa wanachukua 3.5 na kuendelea ila kwa vyuo vya kata unaweza soma navyo kati ya 10 unaweza kupata 1

usidanganye UMMA wa watu kijana MASTERS hua wanaanza na 2.7.
 
vingi tu hapa bongo ILA inategemea na kozi

vyuo; ardhi university, Udsm, TECH nyingi

note; inategemeana na kozi most of engineering 2.7 unasoma vzr tu
 
GPA ya 2.5 kama tujuavyo ni PASS grade sasa je muhitimu wa chuo akipata grade hii anaweza kuendelea na masomo ya masters kama ndio ni chuo gani aombe. pia ina madhara gani katika maisha yake ya kutafuta ajila

ushauri tafadhari.....

Duh, angalau angekua na 2.7 na experience ya kazini ya miaka 5.
 
GPA hiyo ni ndogo sana huwez kuendelea na masters , mara nyingi huwa wanachukua 3.5 na kuendelea ila kwa vyuo vya kata unaweza soma navyo kati ya 10 unaweza kupata 1
Anaweza kuendelea ila itabidi asomekwanza post graduate diploma kabla ya kusoma masters
 
Back
Top Bottom