MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
Wakuu nimatumaini yangu kuwa mkowazima wa afya njema. Mimi natumia huawei y530 ambayo nimeiroot kwakutumia kingroot na nimedowload hifont ila kila nikichagua font niipendayo inakataa kureboot ili iwe imebadilisha font, Msaada wa kuu natanguliza shukrani zangu