Msaada juu ya haya maneno ya kiinternet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya haya maneno ya kiinternet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by prakatatumba, Apr 3, 2012.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wanajf naomba maelezo (maana) ya haya maneno huku ukiyahainisha na internet service provider kwa lugha ya kiingereza au liswahili

  a) caching
  b) hosting
  c) conduit


  natanguliza shukrani
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
 3. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Caching- ni pahala ISP wanahifadhi files ambapo itamsaidia end user kuyapata kwa urahisi. Kwa mfano kama una installation CD ya ISP basi fles zake zitahifadhiwa kwenye computer yako pale unapoifanyia router yako resetting.

  Pia ni sehemu kwenye registry ya computer yako ambapo web files zinahifadhiwa pale unapotembelea websites mbalimbali hivyo kukusadia ku-access kwa uharaka zaidi badala ya ku-type tena web address.

  Hosting ni uhifadhi wa web files za kampuni au watu binafsi kwenye web server ya ISP yoyote yule mwenye access ya internet ambae anatoza ushuru wa kiasi fulani kila mwezi.

  Na Conduit ni njia ambayo inatumika kupitishia cables au waya za mawasiliano iwe simu, computer na umeme.

  Nafikiri nimekujibu kwa kifupi.
   
Loading...