ALF
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 207
- 137
Habari za leo wanajukwaa, asanteni sana kwa elimu kubwa unayoitoa na kutusaidia sisi tusiojua sheria, shida yangu kubwa na naomba msaada wenu wa mawazo na kisheria, mimi nilikuwa ni muajiriwa kwenye ofisi fulani hapa Dar es salaam likatokea tatizo la wizi nikawa nimehisiwa mimi ofisi kilichokifanya ni kunisimamisha kazi na kuamuliwa niwe naripoti na kusaini then naondoka ili kupisha uchunguzi nikaomba kupatiwa barua juu ya jambo hilo sikupewa wakadai kuwa jambo hilo litachukua siku mbili baada ya siku mbili majibu yakatoka nafikiri baada ya kukosa ushahidi wakaandika barua kusema ajira yako imesitishwa kutokana na hala kiuchumi nimepenguzwa kazi na mshahara wangu ulikuwa ni 382000/= na nimefanya kazi kwamuda wa miaka 15 wamekokotoa hesabu zao wameandika natakiwa kulipwa 1,692,00 nimefanya kazi kwa ya miaka 15 je hicho ndio nastahili kulipwa? asanteni.