Andrometer
Member
- Feb 26, 2019
- 81
- 67
Sukrani mkuu. But hizi za TRA ambazo zinajulikana nazijuaje, i mean kama kuna list/link ya products na kodi zake nisaidie...Gharama za kutoa mzigo zinategemea na C&F charges, TRA ambayo inajulikana, Yard charges, transport na nyinginezo kama TBS kama mzigo wako unahusika.
Muhimu tafuta C&F zenye gharama ndogo, lakini huwezi kupata exact figures.
especially kwa spare za pikipiki