Msaada juu ya CARTRADE VIEW

Msaada juu ya CARTRADE VIEW

Funge

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
581
Reaction score
167
Siku njema WanaJF! Samahani naomba msaaada kwa yeyote aliyewahi kuagizia gari kutoka Japan kwa kutumia Cartrade View. Ningependa kujua ukakika na usalama wa huduma zao. Do they deliver the goods? Natanguliza shukrani
 
mimi nimeshaagiza kwao mara tatu. Wana system inaitwa pay trade hakikisha unaitumia iyo kufanikisha malipo yako.
 
mimi nimeshaagiza kwao mara tatu. Wana system inaitwa pay trade hakikisha unaitumia iyo kufanikisha malipo yako.

wako vizuri tu wewe lipa.mie ndo nimepata yangu juzi tu nimelipa wao chao ni US$ 150
 
siku njema wanajf! Samahani naomba msaaada kwa yeyote aliyewahi kuagizia gari kutoka japan kwa kutumia cartrade view. Ningependa kujua ukakika na usalama wa huduma zao. Do they deliver the goods? Natanguliza shukrani

wapo feshi, niliwatumia miaka miwili iliyopita, gari ilikuwa mpya kuliko kwenye picha dhao, usisahau kutumia paytrade, hiyo ndio insurance yako, maana ndio unawalipa wao wa deal na waudhaji. All the best
 
Inaitwa Trade car view.
To me nawaona ndio wauzaji wa uhakika kuliko makampuni mengine.
Wako poa sana.
 
Trade car view ni mtandao ambao kampuni mbalimbali za wauza magari yaliyotumika japan hutangaza na watu hununua. Mfano kwenye. Mtandao wa tradecar view unaweza kuona magari yanayouzwa na kampuni kama sbt, karibu prosper, royal trade n. k nk

Unaweza kujilipua na kununua direct( hapa ukitapeliwa usilie)
Au unaweza tumia pay pal ambayo inakuasure kupata gari uliyoioda. Ni vyema ukatumia pay pal kuepuka kubadilishiwa gari na wauzaji maana ndo zao hizo.

Ila kuna makampuni yanayoaminika kama sbt au karibu prosper

Nakutakia ununuzi mwema tuendelee kubanana vyema kwenye foleni

Hapo nilipoandika pay pal sijui ni pay pal au pay trade mi naiita ninavyojisikiaga
 
Kwa sasa tradecarview ndio wanaoongoza kwa biashara hiyo hapa Tanzania wakifuatiwa na beforward. Trade car view gari zao ziko fresh ukilinganisha na wengine na its safe. Unaweza kulipa kwa pay trade ambao trade car view watahifadhi fedha yako hadi pale utakapothibitisha kuwa umepokea gari lako kama ulivyoagiza ndipo watakapo ingiza hiyo pesa kwa muuzaji pia faida ya pay trade ni kuwa wanakuandalia clearance agent hapa bongo tena kwa discount hivyo hutakuwa na usumbufu wa paper works na gharama ya pay trade ni dola 150 zaidi ya CIF

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cartrade ni mkusanyiko wa wauzaji wadogo wa Japan. Inategemea ni kampuni ipi ina hilo gari. Kuna makampuni wanauza vimeo tu. Ni vizuri kulipa kwa kutumia paytrade
 
hivi ukilipia paytrade kuna haja ya kutafuta clearing agent.mimi nimelipia hiyo dola 150 ya paytrade kwa sasa gari liko kwenye meli nasubiri documents.hebu tupeane uzoefu

Ndio kuna ulazima wa agent, au unataka kuitoa mwenyewe??
 
Hello Members!
Ninapenda kuwashukuru kwa mara nyingine tena wale wote waliochukua muda wao kutoa such beatiful pieces of advice. Stay blessed.
 
nilidhani watanitafutia agent wa kuclear!kwa hiyo through paytrade ni lazima nitafute agent!


Kwa kawaida huwa wanakuunganisha na agent wa hapa. Kama umeshapata documents utapigiwa simu siku yoyote, lakini hulazimishwi kumtumia huyo agent. Mfano mimi nina agent wangu hivyo huwa siwatumii wa kwao.
 
Back
Top Bottom