Naomba ushauri: Nahitaji kufungua duka la vitambaa

Una uzoefu na hiyo biashara, sijawahi kuifanya ila nahisi ina ujanja mwingi.

Nakushauri uingie field kwa kuuza duka la mtu au kufundishwa na mtu aneifanya hiyo biashara.
 
Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri
Addition:

kama ni mwanamke ajichanganye sana na wale wamama wanaopenda mashughuli kwa ajili yakufungisha sare maana wanakataga mita nyingi nyingi
 
Back
Top Bottom