Msaada juu ya bachelor of procurement

Msaada juu ya bachelor of procurement

Quicklime

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
176
Reaction score
64
Jamani wanajamvi nahitaji msaada juu ya chuo kizuri kwa kusomea bachelor of procurement nchini tanzania...
 
Natambua hlo lakini majembe ya humu nayaamini sana ndugu yangu!
 
Muccobs ndo suluhisho hamna pengine, pure procurement and supply mgt
 
Jamani wanajamvi nahitaji msaada juu ya chuo kizuri kwa kusomea bachelor of procurement nchini tanzania...
Ningekushauri usome UDSM, lakini bahati mbaya hii course imesimamishwa kwani asilimia kubwa ya walimu wapo nje kimasomo. Asikudanganye mtu UDSM wanatoa degree ya materials management ambayo unaweza kufanya kazi mahali popote, ziwe NGO's au serikalini. Jaribu tu kusoma huko kwingine wanakokushauri ili uweze kuwa expert kwenye manunuzi ya serikali tu!
 
Nenda mzumbe,atleast elimu yao iko stable,huko kwngne longo longo 2.
 
Naona kila mtu anasifia mahala pake, to be honest hyo kozi nenda st augustine university na kwa ushauri zaidi isome content ya hyo kozi kwenye prospectus yao.
 
njoo eagle wings,.tehetehee,joking..!!
 
Nimepangiwa TIA,hapo vipi??
Elimu popote..asikutishe mtu,
Wewe kasome degree yako/advance..then ukimaliza fanya mitihani ya NBMM! Ukipata CSP yako haijalishi ulisoma chuo gani!
 
Muccobs wanatoa Procurement and supplies management na nadhani TIA pamoja na CBE wanatoa hiyo hiyo. Ila Mzumbe,kama sikosei wanatoa Procurement and Logistic. Ila haijalishi unasoma wapi. Kwani mwisho wa siku ili uweze kutambulika itakupasa kufanya mitihani ya PSPTB ambayo ni bodi inayosimamia hizo course. Na ukifanya ukafaulu utakabidhiwa CPSP. Ambayo itakuwa inakutambulisha kama mtaalamu wa Manunuzi na ugavi. Wewe usijali nenda soma hapo hapo,usiyumbishwe.
 
Nenda MUCCOBS nadhani wako vizuri zaidi kwenye procurement!
 
MUCCOBS au IAA then fanya mitihani ya CSP
 
Back
Top Bottom