jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Kama upo dar nikutaftie sh ngapi unifanyie hiyo kaziNikusaidie mkuu kuna app zipo unalipia online spytphone na zingine nyingitu. Zingine unatakiwa uwe na simu ya mhusika uinstalll software watakupa activation code baada ya kulipia nafikiri ni dola 8 kwa mwezi. Price ina range Kutokana na features unazotaka ila hiyo ndo ndogo ya mwisho.
Ukishainstall kwake unadisable notification za hiyo software na playstore then ingia kwenye site yao utaingiza namba ya simu tokea kwenye laptop watakuomba activation code ukishaingiza tu sim ya mhusika inahamia kwenye laptop yako.
Unawezafanya nn
Utasoma sms za simu social media zote
Utarekod calls zote
Utaweza kusikiliza maongezi yake ya kawaida yaan kusikia nn kinaendelea aleneo linalomzunguka.
Utaweza kuona location alipo na kufuatilia amepita wapi katika siku husika endapo tu alienda na simu
Haya yote utayafanya bila mhusika kujua.
Nimemfanyia hivi mchepuko wangu last week saiz analia ovyo tu kama mtoto ukizingatia namsomesha chuo
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app