Punguza wivu!Wakuu wasaalam , nahitaji kujua mbinu au njia iliyo bora kwa kuhack fb....just doing some funny
kwa yeyote mwenye mbinu au njia anisaidie
hahaaUna sh. Ngap
Ingia darasani, jifunze codes from the scratch,jifunze programming etc kama una nia,uwe na uhakika baada ya miaka 8(It takes an average of 8 yrs to be an expert in s/thing)unaweza kuwa professional hacker (Either white hat hacker or black hat hacker).
Mimi.. ninashukuru.
KU-HACK ACCOUNT NDIO HABARI YA MJINI.. KUNA WADAU WANA ACCOUNT ZAIDI YA 5000 ZA WATU TOFAUTI... kinachofanyika unatengeneza system inayoweza ku-capture username na password.. unaisambaza kwenye social network mtu akiingia kwenye hiyo link ndio unakua ume-hack account yake utakua na password na username, hapo unabadili password na username i.e no ya simu au email.. kama upo serious njoo pm nikufundishe kwa 450,000, hizo account ndio hua zinauzwa kwa ajili ya ma-blogger na bei huanzia sh 5000 kwa account za zamani kwa kua zinauwezo wa kufanya kazi nzito tofauti na account mpya na ni-ngumu kufungiwa hizo account za zamani hata u-post vipi.... cha msingi uwe unaishi dar es salaam ili tuonane ana kwa ana/practically..Wakuu wasaalam , nahitaji kujua mbinu au njia iliyo bora kwa kuhack fb....just doing some funny
kwa yeyote mwenye mbinu au njia anisaidie
kinachofanyika hapa sio udhaifu wa facebook.. facebook ni imara na ina-security kubwa, udhaifu wako ndio unasababisha account yako kuwa-hacked, siku zote secutity kubwa inaanza kwa mtu kwanza kabla ya system, that why kuna vitu kama social engineering..Sikushauri ndugu nishajua nini kinakusumbua kichwa facebook ya jana sio ya leo.
Mkuu Mazagazagaa tafadhali ni Pmnamba yako nipo Dar kuna kazi hiyo nikupatiekinachofanyika hapa sio udhaifu wa facebook.. facebook ni imara na ina-security kubwa, udhaifu wako ndio unasababisha account yako kuwa-hacked, siku zote secutity kubwa inaanza kwa mtu kwanza kabla ya system, that why kuna vitu kama social engineering..