Msaada jinsi ya kuzuia matumizi ya internet kwenye windows 10

Msaada jinsi ya kuzuia matumizi ya internet kwenye windows 10

Huwa nafanya hivi, naenda download windows 10 direct from microsoft, version niitakayo kama ni pro au yeyote, kisha naenda ebay nanunua product key, bei haizidi 10000/= zipo hadi za 6000/= mpaka 5000/=, kisha na activate naunga bando la TTCL la usiku la 10GB, nafanya updates pia na drivers nyingi hupatikana kupitia updates, baada ya hapo future updates huwa zatumia kiasi kidogo tu cha data.
 
Bana tafuta ZoneAlarm firewall product ya Israel au Comodo firewall poduct ya Marekani hizi nimezitumia sana hasa Comodo kwa kufilter ni program gani itumie net na ipi isitumie ingawa kwenye windows kuna built in firewall lakini sikuipendelea. Na pia kwa matumizi ya internet napendelea kutumia Operating system ya Linux Mint kwa ajili ya privacy na pia huwa haili bundle kama windows. Kwani kwangu ni 2 Os in One PC mbona utapenda.
 
Hata kwenye simu siiachi mbali firewall.
Screenshot_20191019-225942.jpeg
 
Hio modem yako ina count kama cellular? Start button, then select Settings > Network & Internet > Cellular > Advanced options.
cellular ipo lakini haiwi connected kinachokuwa connected ni Dial Up na haina "Advanced options" option
 
Natumae mleta mada umepata muongozo...

Cc: mahondaw

Hapana mkuu Shida nilifanya ku update nione itakuwaje ila sasa kinachotokea hata siamini kwani siku 3 mfululizo na update usiku kuna update moja ina GB 4 inadownload na install ila kesho inakuja tena let say ni 16.8.7.9 ya leo kesho inakuja 16.8.8.0 kesho kutwa 16.8.8.1 sasa hata mwisho wake sijui ni ngapi na kila siku iyo GB4 inatumika kwa file 1 bado na vingine vidogo vidogo
 
Mkuu kila mwaka kuna update moja kubwa ya windows yenye GB za kutosha, hivyo kama ulijichanganya ukatafuta windows sehemu ambayo sio website ya microsoft tegemea hiko kitu.

Windows 10 ilitoka 2015 hivyo zipo kama 3 ama 4 hivi hizo updates kubwa.
 
Hilo dude halijawahi kumaliza kuupdate lenyewe kila siku linaupdate tu hata ujaze gb 50 umalize kila kitu baada ya siku mbili linadai tena. Fata ushauri wa chief tu hapo piga chini hiyo tafuta latest zilizotoka mwaka huu. Then set metered connection.

Kingine kama ni mtumiaji wa cracked software jiandae defender kutafuna software zako.
Windows 10 ina updates nyingi sana mwanzoni na ndivyo inavyotakiwa kuwa.

Tafuta sehem internet ya kueleweka, iache imalize updates kisha utaendelea kama kawaida na utaratibu wa matumizi yako ya internet.
 
Anaweza kudownload windows 10 lakini ambazo zimemodiwa na kuondolewa mavitu mengine yasiyo na muhimu na kuongezwa baadhi ya vionjo. Hizi hazisumbui sana.

Mfano windows 10 Rog rampage. (Gamers edition)

Windows 10 ina updates ambazo wao wameamua ni essential. Huwezi kuzizima kwa configuration yoyote. Dawa ni kuzuia tu internet access. Unaweza kufanya kwa kutumia Firewall or anything at network level. Block traffic zote za kwenda kwenye Windows update!
 
Anaweza kudownload windows 10 lakini ambazo zimemodiwa na kuondolewa mavitu mengine yasiyo na muhimu na kuongezwa baadhi ya vionjo. Hizi hazisumbui sana.

Mfano windows 10 Rog rampage. (Gamers edition)
Za kuiba hizo. Zina shida zake lukuki!
 
kuna software huwa tunatumia inazuia automatic window 10 update ukiiweka hii inaoption pia ya kuchagua software ipi ua update au usi update ...
 
Windows 10 ni miyeyusho sana kwenye ulaji wa bando, ila mimi ilikuwa inakula sana wakati nime instal. Kwa sasa imepunguza. Komaa tu mkuu.
 
Back
Top Bottom