Ni hivyo ila usiache nafasi baada ya hayo mabanoMbona ngumu [ colour=green ]hivi?
Yaani Mbuzi kagoma au ?
Mh mbuzi kagoma kaingiaje tena hapoYaani Mbuzi kagoma au ?
dah![color]umetisha
najaribuNaomba kusaidiwa njinsi ya kuweka langi kwe post
etieeeh!kama hivi?
Badala ya kutumia colour kama inavyoandikwa kwa British English basi tumia color kama inavyotumiwa na US English. Nami najaribu. Ikibadilika fanya hivyo kwa kubadili spelling.[colour=red]bado sijaelewa
Mabano lazima yawe box[ color = red] neno unalotaka likolee rangi nyekundu
usiache nafas yoyote coz mi nakuelekeza