cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,152
- 1,853
Watumiaji wa instagram naomba mnielekeze jinsi ya kuweka emoji kwenye post au comment za instagram kama vile emoji za moto nk kwakuwa navutiwa sana na zile emoji wanazowekaga watu! Sasa sijui zile ni apps ambazo huwa wana download au wanaweka kwa mtindo gani?