nimepata simu ya galaxs3 ila inadisplay edge mda wote naomben msaada jinsi gan ya ku activate 3g data.. maana simu zingine zilizopo eneo hili zinakamata 3g vizuri tu thanks guys
Hakuna kitu km hicho labda km hiyo sim ni mchina lkn kwa original haiwezekaniChunguza vzr cm yko icje ikawa s3 toleo la pili hzo znasoma edge au 2g netwrk
kwa msaada wa google Inside Galaxy: Samsung Galaxy S3: How to Turn Off and Turn On 4G LTE
- Go to Settings.
- Select "Data Usage" (more. ..).
- Select "Mobile Network".
- Select "Network Mode".
- Choose the CDMA setting.
- Done. Now your phone will connect to 3G only.
tusiwe wavivu muda uliotumia kuuliza hapa unge google ungeshapata jibu
Kuna uwezekano simu zenu ni North Amercan versions. Niliwahi kuwa na simu kutoka at&t ambayo haikushika 3G kutokana na Network bandz za hapa Tz kushindwa kuoperate kwenye at&t phone.
T.Mobile ni service provider ambao wanatoa GSM UMTS na LTE. T Mobile ina headquarters US na Europe. Kuna radio frequency ambazo ndizo zinakufanya ujue kama simu ni US ama European version. Simu yako wewe inaoperate 3G kwenye kati ya frequency za 1700mHz mpaka 2100mHz. Na kwa maelezo ya Wikipedia hizo 3G radio frequency ni za US version T Mobile pekee. Ina maana ungekuwa upo US ukawa unatumia mtandao wa TMobile ungepata 3G ya uhakika. Hiyo simu yako ingekuwa ni European version ungefaidi 3G. Hilo ndiyo la muhimu kwenye kuangalia hizo simu.
A.DREAMER na kuhamisha kidogo, yangu ni SII 19100 ,tatizo liko kweny kupata huduma za WI-FI ,ina scan vizuri tu ila nikijaribu ku connect (baada ya kusuply pass word ) ina display kwa kujirudiarudia "connecting....secured,save,authenticating .."hapo ndio mwisho wa habari .Kuna uwezekano simu zenu ni North Amercan versions. Niliwahi kuwa na simu kutoka at&t ambayo haikushika 3G kutokana na Network bandz za hapa Tz kushindwa kuoperate kwenye at&t phone.