msaada jinsi ya kuwasha 3g kwenye samsung galaxy s3

msaada jinsi ya kuwasha 3g kwenye samsung galaxy s3

A.DREAMER na kuhamisha kidogo, yangu ni SII 19100 ,tatizo liko kweny kupata huduma za WI-FI ,ina scan vizuri tu ila nikijaribu ku connect (baada ya kusuply pass word ) ina display kwa kujirudiarudia "connecting....secured,save,authenticating .."hapo ndio mwisho wa habari .
Nini tatizo na dawa yake ni ipi?
Natanguliza shukrani
Mkuu hilo tatizo linaweza kuwa nila hiyo Hotspot, Kwani umejaribu kuconnect kwenye Hotspot nyingine ama ni hiyo moja.
Pia jaribu kubadili hiyo WLAN Encryption kwenda WPA2 AES. Maana kuna mtu ilimsumbua sana, akajaribu kubadili ikakubali.
 
Labda ningependa kujua hii simu kwa mazingira yetu ya Tanzania itanifaa hususani huku mikoani(Dodoma)
Hiyo simu ni nzuri sana kama ingekuwa na 3G connection , lakini kutokana na nilivyokuelezea kuhusu hizo tofauti za radio frequency za Tanzania na TMobile ya US, utakuwa unapata Edge pekee. Kwa hiyo kama ukitaka kutumia Playstore ku-update apps itabidi utumie WiFi.
 
Mkuu hilo tatizo linaweza kuwa nila hiyo Hotspot, Kwani umejaribu kuconnect kwenye Hotspot nyingine ama ni hiyo moja.
Pia jaribu kubadili hiyo WLAN Encryption kwenda WPA2 AES. Maana kuna mtu ilimsumbua sana, akajaribu kubadili ikakubali.
Sasa mkuu wengine ni miaka 100 kwa umri lakini kwa hizi sarakasi za kwenye gadget ni vitoto vya kindergaten ,niongoze mkuu how do i go about it ?kama ina saidia ,chini ya jina la hotspot kuna maandishi QUOTE"secured (WPS available) " END OF QUOTE
 
model no gt-i9300
android version 4.3
baseband version I9300ZSDLL1
kernel version
3.0.31- 2024954
build number
JSS15J.I9300UCUEMJB
mkuu hizo ndo info kwenye about device ya hii simu je
hapo nawezaje irudisha 3g network

Hiyo simu nimchina haina cha kurudisha wala nini, ni clone sio original nina ndugu yangu pia alienda mpaka Samsung shop haikuwezekana.
 
  1. Go to Settings.
  2. Select "Data Usage" (more. ..).
  3. Select "Mobile Network".
  4. Select "Network Mode".
  5. Choose the CDMA setting.
  6. Done. Now your phone will connect to 3G only.
kwa msaada wa google Inside Galaxy: Samsung Galaxy S3: How to Turn Off and Turn On 4G LTE
tusiwe wavivu muda uliotumia kuuliza hapa unge google ungeshapata jibu
Hey,Hey! angeenda huko google na wengine wasingejua hayo!msiwe mafidhuli wa majibu tafadhali ni suala la kutatua tatizo lake ,huwezi unakaa kimya tu!
 
Back
Top Bottom