Msaada jinsi ya kuwablock SBT Japan

Msaada jinsi ya kuwablock SBT Japan

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
644
Nifanyeje ili niweze kuwablock kabisa hawa jamaa maana wamekuwa kero, kero, kero. Kosa nililofanya ni kuingia kwenye website yako na kuwapa email yangu tena ya kazini. Sasa imekuwa sheeda, nikimblock huyu napata email to mwingine, yaani!
Naombeni nisipate email za hawa jamaa
 
Unatumia google au yahoo? Hata nami walikuwa wananikera mno (nilikosea hadi nikawapa namba zangu) ila nimewakomesha
 
Dah! Kumbe hii kero siyo mwenyewe! Yaani hovyo kweli. Hata kama wanatangaza biashara sio kiihivyo.
 
Wanaudhi mnoo, yaan ni email kila siku na kukupigia pigia hovyo, wanakera sana hawa jamaa!
 
Nifanyeje ili niweze kuwablock o mwingine, yaani!
Naombeni nisipate email za hawa jamaa
Wape na number ya simu uone wanavyokera!! What do You know about SBT ndo swali lao kila siku.
 
Unatumia google au yahoo? Hata nami walikuwa wananikera mno (nilikosea hadi nikawapa namba zangu) ila nimewakomesha
Natumia yahoo mkuu. Kwenye simu nadhani nimetibu maana hawanipigii tena simu. Nilimtukana tusi moja moja tu kwa kiingereza halafu yakafuata kwa kiswahili na kisukuma. Najua hajui kiswahili au kisukuma ila ujumbe aliupata
Nisaidie mkuu kwenye email
 
Tengeneza filter ili kila email inayotoka @sbt ifutwe au ipelekwe spam automatically!
 
Wape na number ya simu uone wanavyokera!! What do You know about SBT ndo swali lao kila siku.

Acha kabisa. Halafu mi sidhani kama hao ni wajapan, maana hata majina yao hayafanani na wajapan
 
Tengeneza filter ili kila email inayotoka @sbt ifutwe au ipelekwe spam automatically!
Nipe hatua jinsi ya kutengeneza hiyo filter mkuu. Yaani wakati mwingine inaingia email unadhani ya kuitwa intavwi unakutakana na STB Japan, inakera
 
Nipe hatua jinsi ya kutengeneza hiyo filter mkuu. Yaani wakati mwingine inaingia email unadhani ya kuitwa intavwi unakutakana na STB Japan, inakera

Select moja ya hizo emails zinazotoka SBT, right click kupata option ya ku-create filter. Tatizo sijui unatumia version gani
 
Kwanza kama wana link ya ku unsubscribe fanya hivyo. Kama haitoshi bonyeza button ya spam kwenye email yako, hii itawasaidia yahoo wawe wanablock kwa watu wote.
 
Back
Top Bottom