Msaada jinsi ya kuunganisha Facebook page na blog

Jamani kila niki shere link ya blog yangu katika ukurasa wa Facebook blog inagoma kufunguka mara inaandika erro/ your connection is not private, labda shida nini msaada please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom