Msaada jinsi ya kutumia huawei y 300

Msaada jinsi ya kutumia huawei y 300

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
Wana jamvi Habari za asubuhi.
Nina simu aina ya Huawei lakini tatizo ni kwamba hai download picture, nyimbo au hata video. Inadai memory full lakini Nina memory ya 4gd na bado haijajaa. Pia siwezi pokea kitu kwa Bluetooth. Tatizo ninini wana technologia?
Msaada please.
 
Nenda Settings>Storage>Default storage location ifanye iwe SD Card.
Baada ya hapo ingia kwenye Playstore tafuta app inaitwa 360 Security Antivirus au Master Clean.Hizi simu huwa znajaza log files/junks/caches so inabd uwe hyo ili uwe una-clean mara kwa mara.Mi nlikuwa na tatizo hilohilo.Ikisema memory full,nairun 360 Inazifuta.
Jaribu afu ulete report!!
 
Yes its true hilo tatizo nililipata ila kwa utundu niliweza kufanya hivyo@old skuli
 
Back
Top Bottom