Msaada jinsi ya kutumia Fedex

Msaada jinsi ya kutumia Fedex

Wakuu kutumia shirika la usafirishaji fedex lazima uwe na account kwenye shirika lao kama ilivyo posta?
Hapana
Mpe muuzaji (seller) anwani yako (Physical address) na namba ya simu inayopatikana muda wote (Sababu utapigiwa simu pindi mzigo ukifika - ili FEDEX wakulete ulipo mzigo wako ukifika).
 
Wakuu kutumia shirika la usafirishaji fedex lazima uwe na account kwenye shirika lao kama ilivyo posta?
Hapana sio lazima kwa maelezo zaid wasiliana na muwakilishi wa mauzo na masoko FedEx Express Tanzania kwa sim namba 0657844098. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom