Msaada: Jinsi ya kutumia coodness za GPS

Msaada: Jinsi ya kutumia coodness za GPS

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,333
Reaction score
402
Wakuu heshima kwenu,

Naomba anae jua app inayo tumika kucholea ramani za mashamba kutumia coordnets, nimeshasoma gps za kila kona nataka kuchora ramani na kujua ukubwa wa eneo.

Nawasilisha
 
Ndhani unamaanisha "Coordinates".
Unaweza kutumia GPS device--ukishapata coordinates ukatumia app ya Q-GIS.
Kila la kheri
 
Ndhani unamaanisha "Coordinates".
Unaweza kutumia GPS device--ukishapata coordinates ukatumia app ya Q-GIS.
Kila la kheri
Asante inakubali kwenye pc au ni apps za kwenye simu tu?
 
🤣🤣we dalali
Umekaa na Maafisa akajifunza kidogo,Sasa unataka kujifanya mtaalamu,wakati wenzio wamekaa darasani miaka mi4
Acha utapel ndugu
 
Acha janja janja heshimu taaluma ya watu ,mpe Mtaalamu akufanyie hiyo kazi na utamlipa pesa , mm sikusaidi hata kidogo
 
Acha janja janja heshimu taaluma ya watu ,mpe Mtaalamu akufanyie hiyo kazi na utamlipa pesa , mm sikusaidi hata kidogo
Jamani acheni ubinafsi nimesomewa na mtaalam Kisha kachora lakini Nina wasiwasi ndio maana nataka nielewe ili nijaribu na mimi cheki sample zake hapa chini
 
Attachments

  • Screenshot_20240223-074227.jpg
    Screenshot_20240223-074227.jpg
    65.5 KB · Views: 25
  • Screenshot_20240223-074257.jpg
    Screenshot_20240223-074257.jpg
    14.9 KB · Views: 24
  • IMG_20240217_223536_505.jpg
    IMG_20240217_223536_505.jpg
    2.7 MB · Views: 30
Mtu akiomba kusaidiwa msaidie, maeneo yangu yanachangamoto ndio maana napambana hivi
 
Tumia Q-GIS inakubali Kwa pc.

Hila coordinate kuna app nyingi za simu unachukulia.
hyo Q- GIS itakusaidia kuplot hyo ramani.
hzo coordinate zinachukuliwa Kwa taratibu zake kunakiwango lazina simu isome ndo urecord na utakuja kuziandika kwenye XLS docs.
na kuna aina ya formate utapaswa uisave then utaenda kure extract file lako kwenye Q-GIS itaplot .
Kwa msaada zaidi kula tutorial YouTube.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom