Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,493
- 108,831
Wakuu poleni na majukumu, kuna mshikaji ameniuzia Blackberry Bold, sasa nataka nisevu email adress yangu lakini nashindwa maana yeye alishasevu ya kwake, na yeye ameshakwenda ughaibuni bado sijapata mawasiliano yake wala hajanijibu emails zangu, sasa msaada ninaoomba ni jinsi ya kudelete ile email yake kwenye yahoo messenger na BB messenger ili niweke email yangu.
Natanguliza Thanks.
Natanguliza Thanks.