Msaada: Jinsi ya kutambua kuwa unamultiple selections

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,189
Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!!
Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue.
karibun
 
Tuma picha ya result ya marian tukupe majibu
 
Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!!
Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue.
karibun
Kama una multiple admission hapo marian watakuandikia "una multiple admission" kwahiyo watakwambia utumie code ku-confirm.

Alafu saahz TCU wenyewe wanatuma confirmation code kwenye sms.kama ukitumiwa hiyo code basi una multiple admission
 
Back
Top Bottom