washa calc. Bofya ALPHA,then X (eksi siyo multiply) ikifuatiwa na alama ya KUGAWA bonyeza ALPHA tena, alafu + ,SHIFT, CALC,SHIFT,na CALC. calculator itazima kwa sekunde chache na kisha italeta jibu moja kati ya haya yafuatayo:
-can't solve- ( hii ndiyo original au genuine)
-synthax error- (hii ni feki)
-math error- (hii nayo ni feki)
ungekuwa mwanza ningekuelekeza kwa mhindi anayeuza orijinal nyingi ya unazoziona mtaani ni feki.